myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
waalykum salam..Asalaam Alyekum marafiki
waalykum salam..Asalaam Alyekum marafiki
[emoji120][emoji120][emoji120]Ewe Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu, Ardhi na vilivyomo, tujaalie kila la kheri ndani ya siku yako hii
Alyekum salaam! Khali yako?Asalaam Alyekum marafiki
Inshallah!Ewe Mwenyezi Mungu, TWAKUOMBA uyafanye kuwa mepesi, mazito yote yanayotutatiza majumbani mwetu, sehemu ya kazi, shuleni nk
aminEwe Mwenyezi Mungu tuepushe na Shari za vyombo vya usafiri popote tutakapokuwa ima ndani ya vyombo hivyo ama tukitembea
upendo na amaniEwe Mwenyezi Mungu wajaalie viongozi wa taifa hili afya njema na pia watawale kwa haki na mapenzi