[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijajibu kwa sababu salaam hazijashabihiana. Ulishaona wapi unamsalimia prof shikamoo halafu anakujibu shikamoo rafiki? Shwaiiiniii [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwanamke atakayekubali ndani mwake kuwe kuchafu?Aoe ili afanyiwe usafi ndani??
Sijakataa,....Uvivu usimsukume yeye kuoa.Kuna mwanamke atakayekubali ndani mwake kuwe kuchafu?
Siyo mashindano prof...and yes, katika jamii yetu mwanamke ndo ana jukumu la kuhakikisha nyumba yake ni safi !!!
Wapo wasiopenda kufanya usafi mtu analundika vyombo,chupi wiki nzima sembuse kudeki nyumbaKuna mwanamke atakayekubali ndani mwake kuwe kuchafu?
Siyo mashindano prof...and yes, katika jamii yetu mwanamke ndo ana jukumu la kuhakikisha nyumba yake ni safi !!!
[emoji120][emoji120][emoji120], na Mungu afungue milango ya baraka zao..Dua za kutosha kwa washkaji wote ambao wako mtaani na vyeti vyao mkononi na hawana kazi!
Eeey! Dont give up mazee! Y’all gonna make it one day!
Things gon be OKEY
Prayers.