Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

When you're having a sweet night chat with bae and all of a sudden she says ''Goodnight''.my brother you're a side bae.It simply means her main boyfriend wants to sleep,so you have to sleep too.I'm about to die because of my wisdom.[emoji23]
 
Na wewe ukiendaga kwenye events huko hupendi kukomea nje?

Prof bana [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], siku moja nitakualika uje ujionee mwenyewe kama huwa naingia ndani ama nakomea nje.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Aje kushuhudia live match??[emoji23][emoji23]
 
Manchester United watalazimika kumlipa Jose Mourinho kiasi cha pauni12milioni kama wanataka kumfukuza Mreno huyo msimu huu.

Kocha huyo Man United ameweka wazi kuwa hana furaha baada ya kupata matokeo mabaya katika ziara yao ya Marekani.

Mourinho pia amekosa ushirikiano kama alivyotegemea katika usajili na sasa tumaini lake ni kupata mchezaji mmoja tu.
 
Mourinho amebakiza miaka miwili katika mkataba wake wa sasa anajua kuwa atapokea pauni12milioni kwa msimu kama atafukuzwa.

Lakini inafahamika kwamba atapokea mshahara wake wa miezi 12, baada kutokana na mkataba wake.

Mourinho yupo katika presha kubwa ya kuhakikisha anafanikiwa msimu huu, lakini anahisi kwamba hajapata kuungwa mkono vya kutosha katika dirisha la usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…