Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Eti poa boss...

Halafu siku hizi umepoa hakuna hata raha tena. Hakuna mabifu, hakuna purukushani, hakuna ligi aaaarghhh!

Ukiendelea hivi cheo cha urolo modo utakipoteza aisee [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] rol modo kwa mabifu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kabisa kamanda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 830244

Profesa muuza mablanket[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
tapatalk_1533752597216.jpeg
 
Hapa UGUMU uko pale pale! Hageuki mtu nyuma hapa. Sitaki kuwa jiwe, kama story za Adili na nduguze! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] macho mbele... Huku nyuma unasikia tu "bebi nilikuhamuuuu.. Mmwaaa [emoji8] [emoji8] [emoji8] neksi taimu unichoshe zaidi ya leo"
 
Yaani Ata sina uhakika, wewe je
Mdogo wangu nilisha kufundisha, mtalaka hatongozwi...
Mwambie tu "Carba leo ni mkamuano jitahidi kuwahi na hautarudi leo"
Sio najihangaisha tu kumwita shemeji shemeji mtu mwenyewe haujiongezi... Utamtongoza mpaka lini? Mimi mwenyewe nsha choka kumwita shemeji... Nikibadilisha jina usije shtuka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom