carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Najua umegoogle, maana naamini haukuwa na ufahamu mkubwa wa wanamuziki japo inawezekana ulikuwa unapenda nyimbo zake. Sidhani kama utakuwa ulianza hata sekondari
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] kitambo sana hiyo*UTOTO Bwana.!*
*Mnacheza Mpira wa Makaratasi, Unapiga Chenga Kibaoo.. Afu Ukifika Golini ili Ufunge Unakuta GOLI Hamna* [emoji16]
*Kumbe Mwenye NDALA zake Ameitwa Kwaoo... [emoji16][emoji16][emoji16]*
🤣🤣🤣🤣
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Safiii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani Chattle City ipo wapi carba??? mm wa mkoani bhana[emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu mjini ila ng'ombe haipandi bodaboda[emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 831354
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hebu ukooooo,nazijua sana tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa huyo ambaye hata santuri hajui[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika.
Nafurahi kuwaona mkifurahi kwa pamoja.
Baba akiona watoto wake wakiruka ruka huku wakijamba na kucheka anafarijika sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
DDC Magomen kondoa, DDC Kariakoo, Kigongo bar, CCM Kata 14. Kitambo kilee[emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hapa kuna andaeitini wabishi sana,,, wakumbushe enzi zetu zile za ddc mlimani park jinsi palivyonoga[emoji23] [emoji23]
Noma sana[emoji3] [emoji3]HATUPOI aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kumbe hata santuri huzijui.
[emoji3] [emoji3] homeboy mambo vipi[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji24][emoji24][emoji24]... Ushaniharibia siku yangu, hata Lunch naizira leo! [emoji124][emoji124][emoji124]
Muhenga!!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu[emoji23][emoji23][emoji23]niwaonyeshe hawa kina numby na ninge sisi wahenga tulikotoka
Uchokoziii[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe Kama kuna watu umewalenga juu ya hii picha bora ungesema mapema tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] homeboy mambo vipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hebu ukooooo,nazijua sana tu