moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uhenga huo[emoji3] [emoji3] [emoji3] nikurudie rudieeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu oh..karibu yangu[emoji445][emoji441]
Uhenga huo[emoji3] [emoji3] [emoji3] nikurudie rudieeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Karibu oh..karibu yangu[emoji445][emoji441]
Hahahha safi sana mkuu,,, umenikumbusha mbali sana aisee,, enzi hzo muzik bado unaitwa muzik hahaDDC Magomen kondoa, DDC Kariakoo, Kigongo bar, CCM Kata 14. Kitambo kilee
mambo ya carba hayo hahahUchokoziii[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bilionea usituache tu, mwaga likes mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]. Kwema mkuu za kwakoNawasalimuni sana wapendwa wa kipande hiki...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niondoke mie[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 831388
Wewe kijana kalale ukue khaa mbishii mbishi akati huzijui nyimbo tamu kama hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahha safi sana mkuu,,, umenikumbusha mbali sana aisee,, enzi hzo muzik bado unaitwa muzik haha
Mara Leo Manzese na kesho upo kinondoni eeeh....unajivunjia hadhi na heshima yako pia.....Ilikubidi ufikiri ndipo kuamua...bora pazia kuliko Bendera kufata upepo[emoji441][emoji445][emoji445]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe kijana kalale ukue khaa mbishii mbishi akati huzijui nyimbo tamu kama hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kwahiyo wewe ndiye baba?Hakika.
Nafurahi kuwaona mkifurahi kwa pamoja.
Baba akiona watoto wake wakiruka ruka huku wakijamba na kucheka anafarijika sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sasa tazama umecheza patapotea....pole mkuu mwenzangu kwa haya yanayokupata[emoji441][emoji445]