Mzee unashangaa "mbona napewa shikamoo nyingi zinazo ishia na vicheko!!"Hawaishii hapo tu, wanaenda kutoa tahadhari kwa wenzao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28]Wendy Williams..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini mpaka afike hatua ya kuzoea. Lazima atakuwa ni sugu.Utazoea tu.
Mwanzo mgumu... Jitahidi sana kukwepesha ili isije sukuma jijini kileee?? Nsha sahau, ukikikumbuka nishtue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ni Dume jike sio kike dumeNi jike dume kweli au wanamzushiaga? Mwanamke orijino anaweza kuwa na umbo la hivi kweli? [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
View attachment 832191
[emoji23], sema mmiliki nae ajue kulitumia...Vinginevyo mmmmh!!Utazoea....
Hahahah hatari sanaMzee unashangaa "mbona napewa shikamoo nyingi zinazo ishia na vicheko!!"
Simuoni mtaalamu wangu The Undetaker
Najua haumsemi Shemeji yangu, yupo tu mwingine akifika tu... Woooi woooiiiKuna kakimbaumbau humu kanalia liaga insomunia. Najaribu kukaonyesha dawa mbadala. Ila kakija sasa uwiii !!!
Duh hatari hiiMjini kila mtu na matatizo yake...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo.
Mmoja aling'ang'ania kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema:- " Unadhani familia yako ina
matatizo?" Basi sikiliza kisa changu hiki:….
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu na mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.
Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke wangu niliyemwoa akiwa mjane),
hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo) alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia baba mmoja.
Lakini kwa vile pia alikua ni mtoto wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto wa kiume.
Sasa msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa mtoto
wangu huyo wa kiume kwa kuchangia mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na mwanangu (mwee...!!).
Hali hiyo ilimfanya pia baba yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu.
Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto wangu wa kiume ni wa baba yangu ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe...
Jamaa akaaga [emoji1544][emoji36]
Hyo familia wajukuu zao watakuwa vichaaMjini kila mtu na matatizo yake...

Rhonda Rousey...Hatamsahau Holms. Alipigwa mpaka taya likatawanyika. Sasa amehamia kwenye maigizo ya WWE...
Kakija hapatakalika hapa. Just waitNajua haumsemi Shemeji yangu, yupo tu mwingine akifika tu... Woooi woooiii