In form two i was given a suspension.
My dad alikua wembe, kaa angeskia nimepewa sus sijui ingekuaje..
Nilienda exile kwa uncle yangu claiming i was sick..
siku ya kurudi nikingoja viboko nikakomboa msee wa boda boda.
Tukaenda Vizuuuri. Tukafika mwenye tulipigana na yeye alianza, akalimwa zake karibu 30 akatoka na mamake..
i was next nikaitwa...
soo confused nikaingia na boda boda guy..
tukaanza kesi, in the middle of kesi principal akauliza..
"what is the name of your boy?!"..
damn na sikua nimemshow.
Msee wa boda akaniangalia na akaangalia principal.nimetense, nasweat tu!!.nasema kwisha sisi..
Huyo msee wa boda aliamka na kofi!! Pah!! Nikaona giza.."Nikulipie fee tena nikusemee jina kijana!"..
Hadi princi akamshow "Thats enough dont kill the boy".......
kwenye uko bro.you are my hero..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]