ALU255
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,089
- 2,126
Nilikuwa najiulza Huyu jamaa ana nguvu kiasi za kumnyanyua mtu kama John Cena kwa mkono mmoja au kuna drama zilikuwa zinafanyika paleMi pia namkubali sana huyu jamaa, hasa anapowakamata shingoni kuwanyanyua kisha kuwapiga chini View attachment 832220View attachment 832223View attachment 832227