Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jidanganye....Hiyo achia kina MKOROMIJE mana malasti boni hawawezi vitu vikali[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku wa kulaliana[emoji125]Si ukalale sasa ?
Ile?[emoji23][emoji23][emoji23]hapana siitaki itanisababishia traumaUkiwa na insomunia kumbuka ile dawa mbadala niliyokwambia [emoji109][emoji109][emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shabiki wa Man U akalale? Tena wameshinda? Thubutuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Njooni tujipikilishe jama. Bageshi upo?
View attachment 832421
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mkoromije lastborn
Usiku wa kulaliana[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Usiku wa kulaliana[emoji125]
Trauma wapi? Dawa hata kama ni chungu namna gani hunywewa. Ulikuwepo wakati wa chloroquine na quinine?Ile?[emoji23][emoji23][emoji23]hapana siitaki itanisababishia trauma
Halafu siku hizi sipati insomnia nimepona
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Daa, na huu uzi ufutwe tu, umetuharibia mtoto wetu mpole! [emoji1][emoji1]
Huwaga navisahau kwenye oven vinaungua. Sema oven ina sensor inajizima yenyewe otherwise ningekuwa nshaunguza nyumba. Mtu unakula likes huku nyumba inaungua [emoji16][emoji16][emoji16]Vikiiva niamshe nije kula