Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mkoromije lastborn
Ulikuwa hujainyaka hiyo? Nilishasema mara nyingi humu. Hata leo katika mjadala wa Malcom kuhusu malast born kuwa eti huwaga tunakuwa vilaza balaa. Ila ulast born una raha zake bana hasa uwe na mama mwenye upendo kama alivyokuwa wa kwangu. Watu wanahangaika na vipapatio huko we umewekewa kidari. Sema tu kutumwa tumwa na wanaume huko nje dah! Hata muda wa kula hamna ukikaa tu ushaambiwa kwenda kuleta mboga, mara moto wa kuwashia sigara !!!
 
Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.

Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi “tongue/French kiss”.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo nimejua leo. Ila ila last born wana madeko balaa
 
Daa, na huu uzi ufutwe tu, umetuharibia mtoto wetu mpole! [emoji1][emoji1]
Ila siku hizi kweli kamekuwa kapole sana dah !!!

Watakuwa wamekawowa tu lazima. Si kwa upole huu dadeki. Mtu hata utesti zali namna gani kapo tu kanacheka. Zamani weeee! Ligi linaanza tena kali halafu kalikuwa hakashindwi sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bwana asikwambie mtu denda lina raha yake, denda lina uwezo uwezo wa kuhamisha fikra kutoka upande mmoja hadi mwingine. Mfano mkeo/mumeo kuna kitu kimemuudhi muombe msamaha huku unamsogelea taratibu halafu ukimfikia mpe ulimi uone, yani automatically hasira zooote zinakatika naye utaona atakavyojibu mapigo na mwisho wa siku mnajikuta hata mkimaliza mchezo kabisa.
 
asa denda linakuwa tamu zaidi kama wote midomo yenu ni misafi isiyotoa harufu, sidhani kama utaenjoy endapo mwenzako kinywa kinatema mmmmh hapo ndo utakuta wengi hawapendi kukiss wapenzi wao, sasa kwanini ukose na umkoseshe raha mwenzio kwa kitu kidogo hivyo?? Kuna wengine mna matatizo ya kunuka mdomo basi hakikisha unamuona mtaalam ndugu yangu bila hivyo utaaibika na kujua kama unanuka mdomo ni rahisi sana sogeza kiganja chako mdomoni na utoe hewa wewe mwenyewe utaisikia au nyonya kidole chako halafu nusa, harufu lazima ibaki kwenye kidole kama una huo ugonjwa nenda kwa wataalam ila vinginevyo jitahidi kupiga mswaki mara kwa mara kwa dawa maalum pia kama penda kutafuna BIG G mara kwa mara hii kidogo itasaidia kupoteza harufu. Au siku hizi kuna manukato ya mdomo pia waweza tumia
 
Pia kingine ambacho napenda niwaambie usije ukatoka kula samaki, dagaa au karanga halafu bila hata kusafisha mdomo ukaenda kumpa denda mpenzio nikwambie ukweli unampa kero sababu harufu ya hivyo vitu hufanya mdomo utie kichefuchefu,so safisha kwanza mdomo au tafuta hata big g halafu ndo mambo yaendelee usimpe shombo mwenzio wengine wanakinyaa eeenh?
 
Ongeza ujuzi wako sasa…na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio unampumulia mwenzio mdomoni….(atashiba hewa) au unabada pumzi (Mauti inakukumba). Unaweza kufumba macho au kukodoa....inategema na wakati wenyewe.

Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako lakini busu zote zinahusiaha ulimi na mate.
Aisee...

Mchukia Wasukuma, weka ile picha ya Wasukuma wakilana denda mmoja kamng'ata mwenzake mdomo/pua [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.

Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi “tongue/French kiss”.
Kumbeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana
Ila siku hizi kweli kamekuwa kapole sana dah !!!

Watakuwa wamekawowa tu lazima. Si kwa upole huu dadeki. Mtu utesti zali namna gani kapo tu kanacheka. Zamani weeee! Ligi linaanza tena kali halafu kalikuwa hakashindwi sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama unadhani busu linalohusisha ndimi na mate ni kitu kidogo na cha kawaida basi fikiria mara mbili, yamkini unatenda tendo hili lakini hujui undani wake. Mtaalam mmoja alisema “In the mating game, a kiss is more than a kiss, it is a taste test”.
Mate ya binadamu yanahusisha chembechembe “molecules” kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, mara ndimi zenu zinapokutana “molecules” hizi hutuma ujumbe katika ubongo wa mwanaume na mwanamke.
Watafiti wamegundua kwamba kuna wingi wa “bioactive testosterone” katika mate ya mwanaume kuliko kwa mwanamke, hali hii huyapa mate ya mwanaume uwezo mkubwa wa kuamsha ndani ya ubongo wa mwanamke hamu na hisia kubwa za kufanya tendo la ndoa.

Hii ndiyo sababu inayofanya wanawake wengi kushindwa kujizuia kufanya tendo la ndoa mara tu wanaporuhusu mwanaume kugusanisha ndimi “tongue/French kiss”.
Shida ni mabilioni ya bakteria sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
1533936321722.gif
 
Back
Top Bottom