Wakati mwingine ukienda tu kwenye settings na ukasafisha cache na data zote walaaaa chrome kama mpya vile. Ikifikisha cache zaidi ya 1GB au hata 500MB tu inaanza kuwa slow japo pia inategemea na simu unayotumia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.