Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina shida ya pete tena haina maana kwangu hata mganga anamvalisha pete mgonjwa wake
sammyluv luv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina shida ya pete tena haina maana kwangu hata mganga anamvalisha pete mgonjwa wake
Solo ThangMr II sugu
Ndo naondokaEeeeh sawa nakuja [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nishakaribia kabisa nipo siti za mbeleKaribu ku like humu
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Ndugu yangu hawa watu by nature hawaridhikaki na mwanamke mmoja, so kama anakutimizia matwakwa yako mwache awe nao hata mia
Hi, carbamazepine: mambo, mzima wewe
Maadui hawaYe mganga mi namtishaje labda maombi yalikuwa na nguvu
Hapa nimeagiza juice ya mabungo na kachori uku nikiingalia avatar ya zepine doooooh let me love youHahaa weraaaa
Endelea kulia[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Baraka zake ziwe na weweUbarikiwe
AyMwana FA
AMUN RABaraka zake ziwe na wewe