Ndiyo maana superbugs wanaibuka kila leo. Hawa wamemuteti haraka haraka na hawasikii antibayotiki yo yote ile. Tena wako huko huko mahospitalini. Mtu unalazwa na tatizo jingine halafu unaondoka na superbug; na inakuwa ndiyo adios. India ndiyo ground zero kwa tatizo hili. Huko nyuma antibiotics eti hazikuhitaji hata prescription...Zaidi ya asilimia 60 ya dawa za antibayotiki zinatolewa na kutumika kimakosa mahali ambapo hazikupaswa kutumika.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumamosi Agosti 12, 2018 na mganga mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk Charles Kiologwe wakati akifunga mafunzo ya matumizi sahihi ya dawa hizo kwa watoa huduma na wataalam wa afya mkoani hapa.
Mafunzo hayo yameandaliwa na mradi wa tuimarishe afya (HSPP) na kujumuisha wataalam na watoa huduma kutoka wilaya za mkoa huu.
Konge unamuonaga wapi? Huku hajaja siku nyingi sana !!!Hahahahah konge yupo ni shabiki wa arsenal
Yupo ukimtag anakujaKonge unamuonaga wapi? Huku hajaja siku nyingi sana !!!