andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Achana nae huyo wa Nansioandjul anapafahamu[emoji23]
Achana nae huyo wa Nansioandjul anapafahamu[emoji23]
Bhasi pako vzr sana aisee, nmepapenda sanaNadhani ni Matema kweli.... Nimesema nadhani[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 834836View attachment 834839
Mfanyabiashara wa parachichi [emoji23] [emoji23]Matema ni kijijini kwetu aliko toka mamaangu, Nsalaga ni sehemu ninayo zungushia parachichi kutafuta watumiaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuko kila mahali,, kuanzia sugar ray, kimboka kote tupoNyie watoto mmesambazwa hovyo hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa yuu huko uliko[emoji120]
Ukuje basi, unichangie hela ya mafuta. Tukifika ntalala kenye gari, hata chakula usininunulie, nitakula mihogo/ndizi za kukaanga kwa usipa/utapi/ngelwaBhasi pako vzr sana aisee, nmepapenda sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Wote na Slayqueen! [emoji1][emoji1]
Baadae,nisije kula ban bure
Ndo biashara inayo nizururisha mjini kijana wangu... Au unanishaurije?![emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfanyabiashara wa parachichi [emoji23] [emoji23]