Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama hujawahi kuongea nae kuhusu mambo ya kupeana Raha na Utamu au ana aibu sana,kwanza tengeneza mazingira ya kumfanya awe comfortable kuongea mambo ya tendo la ndoa na wewe.Siri kubwa ya kumtia hamu kwenye ubongo wake ipo kwenye Maneno zaidi kuliko vitendo.
Kila siku hakikisha unamsifia(sifa zako ziwe zimebase kwenye sex zaidi),mwambie ni kiasi gani unapata hamu ya kupata Raha na Utamu ukiangalia maumbile yake(hips,makalio,matiti etc),kama yupo mbali kidogo na wewe(either kazini,chuo au popote) unaweza ukamtumia meseji za kimahaba zinazohusu kupeana Raha na Utamu,mnaweza mkasex chat,mkaflirt etc