Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama hujawahi kuongea nae kuhusu mambo ya kupeana Raha na Utamu au ana aibu sana,kwanza tengeneza mazingira ya kumfanya awe comfortable kuongea mambo ya tendo la ndoa na wewe.Siri kubwa ya kumtia hamu kwenye ubongo wake ipo kwenye Maneno zaidi kuliko vitendo.
Kila siku hakikisha unamsifia(sifa zako ziwe zimebase kwenye sex zaidi),mwambie ni kiasi gani unapata hamu ya kupata Raha na Utamu ukiangalia maumbile yake(hips,makalio,matiti etc),kama yupo mbali kidogo na wewe(either kazini,chuo au popote) unaweza ukamtumia meseji za kimahaba zinazohusu kupeana Raha na Utamu,mnaweza mkasex chat,mkaflirt etc
 
Kuna wataalamu wa saikolojia(psychology),wanasema kwamba "kama ubongo wa mwanamke haujapata Hamu ya kupata Raha na Utamu,basi tendo zima la kupeana Raha na Utamu litakuwa BORING kwake hata kama asipokuambia"
Ubongo wa mwanamke ni kiungo muhimu sana wakati wa kupeana Raha na Utamu na ndio maana nikaweka kiwe kitu cha kwanza kuzungumziwa. Kama ukiweza kuingia ndani ya ubongo wake,ukapandikiza Hisia na Hamu za kupata Raha na Utamu,basi itakuwa Rahisi kwako kumridhisha
 
Ngozi ya kichwa imejaa nerve endings ambazo zikipata massage au zikishikwashikwa,kuna kitu kinatoka kinaitwa oxytocin,hiki kitu ni hormone ya stress,kama ikitoka mtu anajisikia Raha ya Utulivu na kama hiyo massage ya kichwa au kama ameshikwashikwa kwenye ngozi ya kichwa na mtu wa jinsia tofauti na yeye,lazima atapata Hisia na Hamu ya kupata Raha na Utamu.(Na ndio maana wanawake wengi siku hizi wanapenda kutengenezwa nywele na wanaume huko saluni)
 
Mnapokuwa mnapashana joto(foreplay),pitisha vidole vyako katikati ya nywele zake,tomasa(caress) ngozi ya kichwa chake huku ukimnyonya denda(kama kwenye picha hapo juu),au ukiwa unamtomasa mgongo.
 
Masikio yapo sensitive pia,itategemea wewe ni mtundu(naughty) kiasi gani na mpenzi wako anapendelea nini,unaweza ukayatumia masikio ya mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.

Wakati wa kupeana Raha na Utamu(especially kwenye foreplay),peleka mdomo wako kwenye masikio yake,tumia sauti ya kimahaba sana(kama unamnong'oneza siri fulani),mwambie jinsi hips na makalio yake vinavyokutamanisha(kama hana basi chagua kitu chochote kizuri kwenye mwili wake may b macho,lips etc, tena ukitaka azidi kudata chagua vitu ambavyo yeye mwenyewe anavikubali,anavipenda na anajivunia kuwa navyo),mwambie hujawahi kukutana na mwanamke aliyeumbika tena sana kama yeye etc.
 
Mkiwa mpo katikati ya tendo,mashine ya mwanaume ipo ndani ya uke wake mnapeana Raha na Utamu,kama style mnayotumia inaruhusu,peleka mdomo wako kwenye masikio yake,mwambie kuwa uke wake upo tight sana(hehehe,kila mwanamke anapenda kuambiwa hivyo),tena una joto la ukweli mpaka Raha yaani.Kama anakata na kuzungusha kiuno mwambie jinsi kiuno chake kinavyokupagawisha(drives u crazy).
Au unaweza ukafanya kama anavyofanya huyo kaka hapo juu kwenye picha.
 
Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wanaonukia vizuri,haijalishi kama huyo mwanaume ametumia manukato ya bei gani,lakini kama harufu yake ni ya kuvutia still watatamani kuwa karibu nae muda wote.

Na katika Kupeana Raha na Utamu ni hivyo hivyo,make sure mwili wako hauna harufu mbaya,either ya kikwapa,mdomo au huko chini kwenye mashine na korodani(testicles).Oga vizuri,jisugue vya kutosha especially sehemu zinazoficha majasho na uchafu katika mwili wako,piga mswaki kila baada ya mlo au angalau asubuhi na usiku kabla hujalala.Pia tumia manukato/marashi(perfumes/bodysprays).
 
Na itakuwa vizuri ukitumia marashi/manukato ambayo hata ukivua nguo zikawa pembeni,harufu ibakie kwenye mwili wako(bodysprays ndio zinaweza kudo that au perfume kali)

Ila make sure manukato/marashi unayotumia ni yale ambayo anayapenda,awe angalau ameshawahi kuyasifia japo zaidi ya mara moja.Ukiona vipi mkienda shopping,mwambie akuchagulie perfume/bodyspray anayopenda ili utumie.
 
Kila mtu anajua Raha ya kunyonyana Denda,Raha ya kukiss lips za yule umpendae.
Wakati wa kunyonyana denda,ile hormone ya stress inatoka kitu kinachowapa Raha na Utamu wale wanaokiss kwa lips.Unaweza ukazitumia Lips za Mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.

Kama hujui kabisa au hujui kidogo jinsi ya kumnyonya denda(french kissing her lips) kimahaba,basi unaweza ukafollow steps zifuatazo,

Make sure yupo comfortable kukutanisha lips zake na zako
Make sure mdomo wako hauna harufu mbaya

Peleka mkono wako shingoni mwake au shavuni(hii itamjulisha kuwa unataka mkiss)
Nyamaza,yatazame macho yake kisha tazama lips zake huku taratibu ukipeleka lips zako zikutane na zake.

Mtamanishe kwanza kwa kuzikiss mara mbili kabla hujaanza kumnyonya denda
Wakati wa kunyonya denda,usipeleke ulimi wako mwanzoni,inaboa
Usiupeleke ulimi kabisa kama hujui kuutumia
 
kiss lenu likichanganya(may b after 10 seconds) ndio upeleke ulimi mdomoni mwake
Usiwe rough na wala usitumie nguvu nyingi ukiwa umepeleka ulimi kwake
Tumia ulimi wako kulamba na kutekenya ulimi wake ndani kwa ndani(isionekane kwa nje)

Unaruhusiwa kuguna kimahaba kama kiss limekutouch mpaka moyoni
Fumba macho yako muda wote mkiwa mnakiss kwa ajili ya kupata Hisia(ukifumbua ujue we mchawi)

Acha kukiss,mtazame machoni,tabasamu au cheka kimahaba kisha endelea kumkiss mpaka mwisho
 
 
 
1. Acha midomo yako iongee
Kabla ya wapenzi hawajaanza ku kiss, huwa na muda wa kuzungumza na kujadiliana mambo kadha wa kadha yanayohusu maisha yao. Sasa inapofika wakati wa kubusu, ni muda wa kuacha midomo (lips) zako zielezee ile habari ambayo usingeweza kuisema. Hivyo watu hufumba macho ili kuacha midomo yake pekee ndiyo iwe inafanyakazi wakato huo.
 
1. Acha midomo yako iongee
Kabla ya wapenzi hawajaanza ku kiss, huwa na muda wa kuzungumza na kujadiliana mambo kadha wa kadha yanayohusu maisha yao. Sasa inapofika wakati wa kubusu, ni muda wa kuacha midomo (lips) zako zielezee ile habari ambayo usingeweza kuisema. Hivyo watu hufumba macho ili kuacha midomo yake pekee ndiyo iwe inafanyakazi wakato huo.
 
2. Ni ishara ya raha
Kwa kawaida, binadamu hufumba macho yake pale anapofanya au kusikiliza kitu kinachouburusisha moyo wake na kufanya awe na furaha. Fikiri wakati unasikiliza mziki mzuri, ukila kitu kitamu, ukiimba kwa hisia, ukifika kilele. Hivyo kufumba macho wakati wa kubusu, ni njia ya kuonyesha kuwa unaburudika.
 
3. Ni ishara ya uaminifu
Mtu akiwa amesimama sehemu ya hatari au kujiegemeza, huwezi ukamwambia afumbe macho akakuelewa kwa sababu si sehemu salama lolote linaweza kutokea. Lakini wakati ukiwa unabusu na mpenzi wako, upo sehemu salama isiyo na hatari, huhitaji kufumbua macho uangali nini kinakuja kwa sababu unauhakika upo sehemu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…