Hapana...siwezi kusemaNdio mkuu, baada ya mahubiri mazito ya kumpindua shetani na kumpondaponda,kinacho fuata huwa ni pambia za kusifu, sio kuabudu. Haya niambie, kuna yeyote umemuona?
Hebu ngoja carbamazepine na sammyluv wakueleze vizuri kama mi ni mzima au vipi maana sielewi hapaMzima lakini
Like zake ni tano watoa like ni hao haoUzi Safi sana huu hauna bugudhaa
HahahaaHizi chaga mbaya mnaweza kuua mtu jamani
Adui yangu huyo kaenda kujipanga zaidi kuniangushaMbona mapema??
Hali yako Numbisa, mzimaKama wewe
Epilepsy(kifafa)Ni dawa ya ugonjwa gani?
PoaNatafuta vijana kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream, maji na juice. Kama upo au unamfaham mtu ni PM.
carbamazepineHahaa mana leo yamemfika makubwa