Ahahah kwa kukumbatia mto hizo faida tutazipata kweli..?Hahhahahhaa kumbatia mto
Oh wapenzi nao wana effect kumbeUtafiti uliofanywa North Carolina umesema kuwa watu ambao hawajaonana na wapenzi wao kwa muda mrefu mapigo ya moyo huongezeka kwa mapigo 90 kwa dakika ambapo hali hii sio nzuri kwani binadamu mwenye afya imara hupata mapigo 40 kwa dakika moja.
10 – Husaidia kupumzisha misuli ya mwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahahhaa kumbatia mto