😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,[emoji533]
Daktari : Hebu vua nguo tuone,[emoji102]
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.[emoji38]
Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.🤢
*jamaa akavua suruali* kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.[emoji23]🤣
Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari akazimia
[emoji23]Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,[emoji533]