Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika maisha yako, kuwa mvumilivu kama FUSO

Jipe moyo kama BAJAJ

Usiwe na tamaa kama DALADALA

Uwe jasiri kama SCANIA

Uwe mstaarabu kama COASTER
Na usijikweze Kama NDEGE, Tena usiwaweke watu Roho juu Kama MTUMBWI
Maisha ni taratibu Kama TREKTA

hivyo usiwe na haraka kama BODABODA

Waheshimu wenzako kama BAISKELI, kuwa mpole kama mtembea kwa MIGUU.
 
*UJUMBE WA USIKU*

[emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92]

*Ukitaka mke/ mume aliyekamikamilika utasubiri Sana mana hakuna makamilifu isipokuwa Allah*

*Tafuta mwenye mapungufu ili uvumilie mapungufu yake na yeye avumilie mapungufu yako*
[emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843]

*TAFAKARI CHUKUA HATUA*
 
Italian Relationship:
1st day= Sex
2nd day= Sex again.

French Relationship:
1st day = movies & kiss
2nd day = Sex
3rd day = Sex again

British Relationship:
1 day= hangout & kiss
2nd day = kiss & hug
3rd day= kissing, hug and smooching
4th day = sex and more sex

American Relationship:
1st day= Date
2nd day= Hug
3rd day= Hug again (warmly)
4th day= Kiss
5th day= Long kiss
6th day= Sex

African Relationship:
1st day= money for hair
2nd day= Restaurant
3rd day= Restaurant again
4th day= Agree
5th day= Date
6th day= Date again
7th day= Date again with three of her hungry friends or cousins.
8th day= Date & Hug
9th day= Tried to peck but failed.
10th day = Peck
11th day= Tried to kiss but failed.
12th day= kiss
13th day= Long kiss
14th day= Tried to have sex but failed.
15th day= Tried to have sex but quarrelled
16th day= Didn't talk to each other
17th day= Malice till the next day
18th day= The man called but the woman didn't pick
19th day= The man called, the woman picked and asked: "what is it?"
The man apologize and the woman replied: "Leave me alone, am not that type of girl"
The man continued to beg till the next day.
20th day= The woman accepted the unwarranted apology
21st day= Hug
22nd day= Long hug
23rd day= Kiss
24th day= Long kiss
25th day= Tried to have phone sex but the woman complains that her phone is bad. Guy promises to buy her a new one.
26th day= Tried to have sex but the woman said until he buys the phone
27th day= Tried to have sex but the woman asked: "where is the phone? U are not serious, call me when you are serious"
28th day= he buy phone but girl said she's on her period.
29TH= she is ready but mother called her to come prepare food.
30th= RAPE!!!

[emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Hapo kwa mwafrika uongo[emoji23]
 
FAHAMU : Aliyekua rais wa Uruguay, Jose Mujica ambaye alifahamika kama rais maskini zaidi duniani amesema hatachukua malipo yake ya uzeeni tangu aanze kuhudumu kama seneta. Mujica aliacha kazi ya useneta siku ya Jumanne kiti ambacho amekua akishikilia tangu muda wake wa kuhudumu kama raisi ulipo kamilika mwaka 2015. Kwa mujibu wa BBC rais huyo mstaafu alidai kuwa amechoka na hangeweza kuendelea na kazi hadi mwaka wa 2020. Muasi huyo wa zamani wa mlengo wa kushoto ana miaka 83. Mujica aliwasilisha barua ya kuacha kazi kwa mkuu wa seneti. Alisema kwamba fikra ya kuacha kazi ni ya kibinasfi huku akiongeza kuwa ni uchovu wa safari ndefu. Hata hivyo aliongeza kua ataendelea kuchangia hoja kwa sababu bado akili yake inafanya kazi. Mujica anayejulikana kwa matamshi yake ya kichesi aliomba msamaha kwa wenzake kwa uamuzi huo. Mwaka 2016, alidai rais wa Venezuela Nicolás Maduro ni mwendazimu kama mbuzi. Umaarufu wake ulienea kutokana na maisha yake ya chini ya kukataa kuishi kwenye Ikulu ya rais. Wakati akiwa rais na hata sasa yeye pamoja na mkewe ambaye pia alimsaidia katika vita vya msituni wamekua wakiishi katika shamba moja nje kidogo mwa mji wa Montevideo. Alitoa mshahari wake kwa misaada na kile alichobaki nacho tu alipoingia ofisini mwaka wa 2010 ni gari aina ya Volkswagen Beetle la mwaka 1987. Gari hilo lilipata umaarufu na mwaka 2014 alipewa dola milioni moja lakini akakataa huku akidai kuwa atashindwa kumbeba mbwa wake mwenye miguu mitatu. Kuacha kazi kwa Mujica hakukupokelewa na mshangao kwa sababu alikua amedokeza kufanya hivyo mnano Agosti 3 alipofika mara ya mwisho seneti. Wakati huo, mahasimu wake wa kisiasa walisema hawakua na uhakika ya kwamba atastaafu. Seneta Luis Alberto Heber alidai kuwa Mujica aliacha kazi ili ajipange kuwania kiti cha urais mwaka 2019 kwa mara ya pili. Huku wenazke katika seneti wakimjalia mazuri wakosoaji waliendeleza mijdala kwenye mitandao ya kijamii wakidai aombe msamaha vitendo alivyofanya wakati akiwa mwanachama wa waasi wa Tupamaros miaka ya 1960 na 70.
 
Mwanaume mmoja nchini Uturuki amepasua simu za iphone kwa nyudo kama njia ya kuonyesha hasira zake dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na kumuunga mkono Rais wao Erdogan aliyewaambia wasinunue simu za iphone na vifaa vingine vya kielektroniki kutoka Marekani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…