Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Angel Di Maria

(Ronaldo:

Real Madrid –

Messi: Argentina)

Muargentina Angel Di Maria alikuwa na uhusiano mzuri wa ndani ya uwanja na Cristiano Ronaldo wakati alipokuwa pamoja kwenye kikosi cha Real Madrid.

Wawili hao walipokuwa pamoja Bernabeu walibeba mataji sita na kufurahia ushirikiano wao wa ndani ya uwanja. Di Maria alicheza pia na Lionel Messi kwenye kikosi cha Timu Taifa ya Argentina.

Di Maria na Messi walikuwapo kwenye kikosi cha Argentina kilichobeba medali ya dhahabu kwenye Olimpiki 2008.
 
3.Gerard Pique (Ronaldo: Man United – Messi: Barcelona)

Mwaka 2004, Pique alijiunga na Manchester United akitokea kwenye akademia ya Barcelona inayoitwa La Masia. Hiyo ilikuwa mwaka mmoja umepita tangu Ronaldo alipotua Old Trafford. Hivyo, Pique na Ronaldo wakacheza pamoja kwenye kikosi cha Man United na kubeba ubingwa katika msimu wa 2007-08.

Baadaye, beki Pique alirudi Hispania kujiunga na Barcelona, ambako alikwenda kucheza timu moja na Messi, ambako pia alibeba mataji kadhaa.

Pique anabaki kuwa mchezaji pekee aliyebeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na mastaa hao wawili.
 
2.Andre Gomes (Ronaldo: Ureno – Messi: Barcelona)

Andre Gomes alinaswa na Barcelona kwenye majira ya kiangazi mwaka 2016. Akicheza sambamba na Messi, Andre Gomes alishinda mataji kadhaa makubwa huko Hispania.

Kiungo huyo wa kati wa Ureno alicheza na Ronaldo pia kwenye Timu ya Taifa na kubeba mataji pia. Walishirikiana vizuri kwenye Euro 2016.

Gomes alisema siku zote hapendi kusema mchezaji gani baina ya wawili hao ni bora na kitu anachojivunia ni kuwa mchezaji aliyebahatika kucheza timu moja na masupastaa hao.
 
1.Paulo Dybala

(Ronaldo: Juventus – Messi: Argentina)

Paulo Dybala ni mmoja kati ya wachezaji wachache sana waliowahi kucheza na masupastaa wa soka duniani, Ronaldo na Messi.

Akiwa kwenye kikosi cha Juventus, Dybala atapata wakati mzuri zaidi wa kuona makali ya Ronaldo baada ya staa huyo wa Ureno kujiunga na miamba hiyo ya Italia mwaka huu. Dybala alicheza pia na Messi kwenye Timu ya Taifa ya Argentina.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku tunakoelekea ni hatari
Yajayo yanasikitisha
Naibu Waziri wa Mawasiliano amesema kila mtanzania atatakiwa kuwa na laini moja tu ya simu na kama atahitaji line ya pili itambidi kuandika barua TCRA.

Amesema endapo Serikali itaridhika na sababu zako ndio utaongezewa line ya pili.

Chanzo: ITV habari!

MUNGU ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huyu jamaa kapima DNA watoto wake watatu.

Alipokuta wote siyo wa kwake akaamua kujimaliza. Sasa hapo amemkomoa nani?

(Ila na nyie akina mama jamani kuweni na huruma. Jizazi)
IMG-20180816-WA0009.jpg

IMG-20180816-WA0013.jpg
 
Naibu Waziri wa Mawasiliano amesema kila mtanzania atatakiwa kuwa na laini moja tu ya simu na kama atahitaji line ya pili itambidi kuandika barua TCRA.

Amesema endapo Serikali itaridhika na sababu zako ndio utaongezewa line ya pili.

Chanzo: ITV habari!

MUNGU ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hii hatari sana
 
Back
Top Bottom