carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Alipokuta wote siyo wa kwake akaamua kujimaliza. Sasa hapo amemkomoa nani?
(Ila na nyie akina mama jamani kuweni na huruma. Jizazi)
View attachment 838167
View attachment 838170
Hope perez ataleta mchezaj mwingine matata maana kumpata cr7 ni ndotoMadrid tutapata tabu sana,, nmeona game ya jana walichezewa sana,, wanasema mzimu CR ndio unawatesa sasa
Ndo kwanzaa ataanza gombania mali kuwa za kwake ndoanSijui huyo mwanamke atakuwa anajisikiaje kwakweli.
Ila wanawake sisi Mungu anatuona kwakweli.
It's sad
Ujanijibu nimekuambia wewe ni shem wangu kabisa mimi mke wangu ni mmakonde pure[emoji120][emoji120][emoji120]
Wanawake Mungu anawaonaAiseee aliona hasara kapoteza miaka kulea damu isiyo yake
Hope iwe hivyo aisee!!Hope perez ataleta mchezaj mwingine matata maana kumpata cr7 ni ndoto
Mmmmhh! Unaongea tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabsa,, inabd kutulia tu
Ndo kwanzaa ataanza gombania mali kuwa za kwake ndoan
Ujanijibu nimekuambia wewe ni shem wangu kabisa mimi mke wangu ni mmakonde pure
Anachoandikaga Insta. unaweza usivutiwe kukisoma hicho kitabu chake[emoji23]
Mmmmhh! Unaongea tu
Anachoandikaga Insta. unaweza usivutiwe kukisoma hicho kitabu chake[emoji23]
YaaniHii hatari sana
Sasa unataka ufanyaje tyl ni mke wake na mtt amezaa?Mmmmhh! Unaongea tu
AISEE!Alipokuta wote siyo wa kwake akaamua kujimaliza. Sasa hapo amemkomoa nani?
(Ila na nyie akina mama jamani kuweni na huruma. Jizazi)
View attachment 838167
View attachment 838170
Huyo atakaye kuja kufanya hvyo ntamuachia Mungu pekeeNgoja abambikiwe ndo atajua hajui
[emoji23][emoji23], simu 1, line 1, a/c ya bank 1.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku tunakoelekea ni hatari
Yajayo yanasikitisha
Hongera zake. Kuandika kitabu siyo lelemama [emoji122][emoji122][emoji122]