HahahahaHahahaaa...a hard stuff.
Inabidi nisogee nikasikilize dudeNaskia gwajima kaliamsha dude leo
Kama kawaidaHivi hii speed ya leo ni kwa ajili ya mbio za masafa ya 80k?
Mbona sio kimoja ni vingi tu!!!Walokiona ndo wamesema
Nashukuru kwa mwaliko..Sijadukua mpendwa.Ni kitu kilichopo kwenye ratiba kama wewe kuingia Jf Chitchat.Njoo kwangu for a bible lesson today.
Kishingo upande mamaHahaaa
Safi kiongoziPowaaa za j2?
Kishongo upande vipi tenaKishingo upande mama
Teh!..Naogopa kusutwa. ....nina moyo mwepesiii