Hahaha mpe pole mwenzioHongera kichwa kichafu na wapenzi wako
carbamazepine maana hata mimi sijui nini kiliendelea jana yani hapa kichwani nimebakiza jina lako tuNambie yote yaliokusibu ex wangu
Huruma zako tu mamaNambie Kichwa Kichafu
Namuona yuko kaziniKiungo mchezeshaji..
Naona unataka kumsingizia shetaniNadhani unakumbuka mwanzo kabisa kale kamsemo tulio mwambia mseminari
Lisemwalo lipoZa kuambiwa changanya na zako, cha msingi nenda ukajionee kwa jicho lako
Mi safi, naona jitihada zenu za kumgombea kichwa kichafuMe mzima kabisa sijui wewe
HahahahAliamshe dude au aamshe popo?
Ni hatari hyo ktuHahahaaa...a hard stuff.