Mheshimiwa Waziri wa ujenzi na naibu wake 1996-97, wakijiandaa kuvunja nyumba za "wavamizi" wa barabara ya Morogoro, toka Ubungo-Kimara ili iweze kupanuliwa, Barabara 4, kama inavyoonekana leo[emoji41]View attachment 838627
Profesa habari yako[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh[emoji23], hiyo saini hatari
Nimeipenda hii falsafa. Apumzike kwa amani huyu mama wa shoka...
Kwema Bro, sijui huko....shikamoo BroNimeipenda hii falsafa. Apumzike kwa amani huyu mama wa shoka...
Kwema lakini?
Habari yangu njema kabisa ndg...Ijumaa ikoje pande hizo??Profesa habari yako[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Iko poa mwalimu[emoji3] [emoji3]Habari yangu njema kabisa ndg...Ijumaa ikoje pande hizo??
Naona una furaha kweli....Au mambo ya wikiendi.?Iko poa mwalimu[emoji3] [emoji3]
Nafurahia weekend, karibu tuungane tule pamoja weekend hii profesaNaona una furaha kweli....Au mambo ya wikiendi.?
Wapi hiyo nijisogeze??Nafurahia weekend, karibu tuungane tule pamoja weekend hii profesa
Jisogeze ProfesaWapi hiyo nijisogeze??