Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Don’t judge yourself by what others did to you.
Kwamba wameshafanya yote wakamaliza??Hawa ndoa yao itadumu. Mungu Awabariki !!!
Hivi mambo ya futari yanakuwaga mwezi gani?Duh! [emoji23]
Ndiyo. They have been there done that...[emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba wameshafanya yote wakamaliza??
Huwa inabadilika badilika[emoji23][emoji23]....Hivi mambo ya futari yanakuwaga mwezi gani?
Hahahahaha!Ndiyo. They have been there done that...[emoji16][emoji16][emoji16]
amin..Ijumaa yenye kheri kwenuView attachment 838642
[emoji3] [emoji3] [emoji3] IMANIBaadhi hufika kuomba usaidizi katika kuwaponya wagonjwa au kuwasaidia watu wanaotatizika kushika mimba.
Familia hiyo huwa haiwazuii kufika kumuomba mamba huyo ambapo huwa wanampa kuku.
Watu wamekuwa wakifika kwa mamba huyo kwa muda mrefu, baadhi wakiwa na maombi ya ajabu.
Kunao wanaofika wakitaka kuchukua kinyesi chake na wengine kutaka kuchotamaji kutoka kwa kidimbwi anamoishi.
Bw Yesufu anasema kinyesi hiyo na maji hayo baadaye hutumiwa na waganga au watu binafsi kama tiba.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] muuzaji na mnunuzi wake hatimaye wamekutana[emoji23][emoji23]View attachment 838544
Kila mmoja anawinda hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu anatesti zali ama?