Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Raha sana kuona chozi la mwenye mapenzi ya kweli .Aseee, hongera wenye machozi.yenu
Raha sana kuona chozi la mwenye mapenzi ya kweli .Aseee, hongera wenye machozi.yenu
Asante ndugu kwa kutukumbuka, nimetoka kuvuna mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]poleni wakulima wote
Mapenzi ya kumwaga chozi hapana hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mambo hayo nimewaachia Wahindi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Raha sana kuona chozi la mwenye mapenzi ya kweli .
Tuko pamoja mkuu lete madini Numbisa:Njia hizo na njia za kimahesabu kwa upimaji wa mzunguko wa kiriba tumbo na kugawa kwa urefu wa mwili hujulikana kama waist circumference ratio.
Njia ya pili ni waist-hip ratio yaani uwiano wa mzunguko wa kiriba tumbo na mzunguko wa paja na ya tatu ni Body Mass Index (BMI) ambayo ni ulinganishaji wa uzito na urefu wa mwili.
Njia ya BMI ndio inatumika zaidi kutathimini uzito wa mwili kwa watu wazima, siku ya leo nitaelenga zaidi njia hii kwani ndiyo inatupa taswira ya unene mwilini.
Amefanya apugiredi ya mwaka mmoja [emoji16][emoji16][emoji16]
Na tunakanyagwa kweli...wanaume tumeumbwa matesoView attachment 839080
Huyu dogo maisha yake laiiiiiniiii...[emoji16][emoji16][emoji16]