Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa Duniani kuwatumikia baadhi ya watu inakulazimu ujitoe ufahamu wende mwendo wa kauzu asiye na aibu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hasa Wabongo ni kizungumkuti. Walimwita dhaifu Vasco Da Gama mtu wa kucheka cheka tu wakaenda mbali hadi kusema ili nchi itawalike ajaye ni lazima awe mkali/dikteta. Mungu si Athuman kweli kajibu maombi yote sasa tena makelele [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…