Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan ameaga dunia akiwa na miaka 80.
Annan alikuwa ni mwafrika mweusi wa kwanza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, akihudumu mihula miwili kuanzia mwaka 1997 hadi 2006.
Baadaye akahudumu kama mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria na kuchangia kupatikana kwa suluhu la amani la mzozo wa nchi hiyo.
Rip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana maa
Hii ndo ile mikono minene niliyokuwa naisaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimuona @SYB mwambie namshikamia[emoji23][emoji23]
Hii mbona mipya? Ile original ilishawaponyoka. Ile ya Bae wa uzi bado mnayo? Na mnavyopenda mamikono sasa. Mpaka nawahurumia yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️
 
Kwaheri Kisiki, tutakukumbuka
FB_IMG_1534595210734.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom