MinjaDanielle
Asante sana kwa upendo[emoji1] [emoji1]Nakupenda lakini
Kwa mistarii unayowapa wanashindwa kujua nani ni nani ulingoni...Mkuu sina hata mmoja
HahaaAnapapasa...ila namsifu sana ana moyo..wengine wangeshakimbia..wadada nyie wajanja sana
Kula na wewe hizoKula likes zako kwa kutambua mapema
To a likes upate likesking MSWAT
Hata ajipange vipi sirudi nyuma[emoji125] [emoji125]Umempa talaka mapema..ngoja ajipange upya
Tapeli huyu hana loloteKwa mistarii unayowapa wanashindwa kujua nani ni nani ulingoni...
FUKUFUKU
Anarusha jiwe mchana! Lazima aonekane..wenzake wanarusha gizani likimpata mhusika utasikie "kelele tu"Huyu ni mtaka yote