carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
80k inanukia
Mmeshamsoma..hawapi tabu tenaTapeli huyu hana lolote
Mimi najua mbinu unazotumia yaani unatumia randamle method baby wako wa ukweli umwacha salama kabisamzee wa liver leo maadui zangu wote watajiinua
Saiv namuangalia tuMmeshamsoma..hawapi tabu tena
KWENYE SIMU NI 5 TU ILA KWNYE PC ZINAFIKA MPAKA 100Mbona Like ni Tano tu
HahahahaKama ni admin nafuta na group kabisa
Ha ha ha haHebu ngoja carbamazepine na sammyluv wakueleze vizuri kama mi ni mzima au vipi maana sielewi hapa
AMUN RAHabari ya Jumapili wakuu. Ni kwa neema na makusudi ya Mungu baba kutufanya tukutane tena, tuombe akatufanye ndugu tena na kutuondolea tofauti zilizo kuwepo au kama zitajitokeza, upendo ukatawale na makwazo yakashindwe kwa jina la baba aliye, Mungu pekee. Amen
Usije na wenzako....njoo peke yako nimeandaa somo kwa ajili yako tuu.Nashukuru kwa mwaliko..
Nikitoka kanisani
Asante kwa taarifa sikwenda church leoLeo ni dominica ya 13 ya Mwaka.Injili imetoka kwenye Mathew 10:37-42.
Ila amepeleka uzu huu fastaaaSaiv namuangalia tu
Nalipenda hili neno....Jakamoyo
Ha ha ha mapenzi na mm mapenzi basiMkuu hujarogwa pambana tu.
Leo carbamazepine na @summyluv wanaenda kunichagulia maisha gani niishi ya usolid au laa!
Siamini kabisa, nahisi labda umejikwaa ukaangukia kwenye mikono inayojua kuleaUjasikia au hujaelewa
HahahahaMy Lilies:
*Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*
*Mungu atubariki sana wanaume kwa upendo wa aina hii*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivyoEt eèeeh
Komandooo wa ukweliCaptain Martin Tamim
HhahahaMkuu leo kuna damu changa zinakimbiza mbio za 80k