[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Pyaar bhna,,,ngoja tuoneOoooh! Kuna ile perfect 12 ya m-bet uwe waijaribu pia waweza ibuka millionea TUKASHANGAA[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Usinipambe bwana, nitalewa sifa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Pyaar bhna,,,ngoja tuone
Uko vizuri aisee,, Pyaar a.k.a google
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila yawezekana maana jf ni msitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Ila yawezekana maana jf ni msitu.
Kuna dume mmoja alileta uzi eti ashauriwe afanyeje maana akitembea makalio yake yanatingishika[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye. A breath of fresh air hapa JF siyo kila siku malalamiko.
Enzi za shuttles...
Kamari zote chanzo chake ni tamaa, kama huna tamaa na.kamari imekushinda. Acha wanyooshane tu
Wamekuwa wengi sana humu kwenye kukusanya habari, tunashindwa kuwaamini... Acha wamfuate Pale Mbezi, japo hatutapata mrejesho
Namaanisha stake kwa nidhamu.Kamari zote chanzo chake ni tamaa, kama huna tamaa na.kamari imekushinda. Acha wanyooshane tu
Sent using Jamii Forums mobile app