Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1534204656133.jpeg
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kanjibai akisikia habari zako hatakuacha salama[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], waweza pewa nondo kwenye mtihani ukashindwa kuitumia[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malcom X huyu. Safari yake hii ilimbadilisha mtazamo wake akarudi akiwa ameamua kuachana na siasa za kimapambano na kuamua kupambana kwa amani kama alivyokuwa akihimiza mwenzake Martin Luther King. Mabadiliko haya ya kimkakati, pamoja na umaarufu wake uliokuwa ukizidi kuongezeka, hayakuwafurahisha wakubwa wa Nation of Islam na hatimaye wakaamua kumuua. Ajabu alijua kuwa anawindwa kuuawa lakini hakuogopa. RIP
 
Back
Top Bottom