Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ewaaaaa oni mai weii[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Halftime
[emoji838] BHA 3 - 1 MUN [emoji837]
Murray[emoji460]️ Lukaku[emoji460]️
Duffy[emoji460]️
Groß
#GW2
Kuna dalili kuwa leo Numbisa atapata tabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HANDICAP.
Maana yake timu mojawapo inapewa ushindi wa goli/ magoli kabla ya mechi kuanza..
Mfano:- Burnley Vs Watford ( 1:0)
Kwa mfano huu timu ya nyumbani, Burnley kapewa goli moja kabla ya mechi kuanza, hivyo basi ili Watford aweze kuchukua ushindi anatakiwa afunge kuanzia magoli mawili na kuendelea..
Kumbuka hilo goli alilopewa Burnley litajumlishwa kwenye actual goals..
Hivyo Watfod atatakiwa afunge magoli kuanzia mawili ili apate ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Pyaar,,, nmekuelewa vzr3 way betting.
Huu ni ubashiri wa kawaida.
i.e 1 X 2 ( 1win, draw, 2 win)....Win, draw, loss
Mfano:- Burnley vs Watford
Kwa 3 way (1 X 2) , ukichagua moja wataka Burnley ashinde, ukichagua X wataka watoke draw/ sare...(wasifungane au wafananishe magoli). Ukichagua 2 ina maana wataka Watford ashinde.
Hapo nadhani umeelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi Sana broHuku salama kabisa. Ndo natoka chachi. Upako balaa yaani. Sasa hivi nikikugusa unadondoka. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]