Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazuri zaidi yaja
FB_IMG_1534672118246.jpg
FB_IMG_1534656301313.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Unaonaje leo ukinitwanga lishikamooo tena lile la kupiga magoti chini kabisa mpaka tumalize salamu na mazungumzo ya juu juu?

TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza kusikia hvyo...

samahani kidogo,, em rudia kunielewesha kdgo juu ya over na under, 3 Way na handcap

Tumia mechi hii Kama mfano

Burnley vs Watford

Sent using Jamii Forums mobile app
OVER & UNDER.

Kwenye football tuna vipindi viwili (45dkk za kwanza na za pili)....Magoli yanayopatikana ndani ya dakka 90 = Total goals...

Kuna magoli ya vipindi = 1st Half time & 2nd half time...
Tips za football tunaanzia 0.5 goals na kuendelea, hii ni kwa ubashiri wa aidha half time goals au Total goals.

Mfano. burnley vs Watford
Over [emoji652]

a) 0.5 = kuanzia goli moja na kuendelea.
b)1.5 = kuanzia magoli mawili na kuendelea.
c)2.5 = Kuanzia magoli matatu na kuendelea.
d)3.5 = kuanzia magoli manne na kuendelea.
Magoli haya hayaangalii nani kafunga kati ya Burnley ama Watford....
Mfano, ukitabiri over 0.5, Watford akafunga goli 1 na burnley nae akafunga goli moja au zaidi basi mkeka unakuwa [emoji736][emoji736]

Burnley 2, Watford 1 = 3 goals... hivo kama ulibashiri over 2.5 mkeka unakuwa umetick..
Lakini endapo watatoka 2:1 na ukawa umewapa under 2.5 unakuwa umechana mkeka kwa maana jumla ya magoli = 3, (2+1) ni zaidi ya mawili.

UNDER [emoji652]
a) 0.5 = Wasifungane
b) 1.5 = Wasifungane ama lipatikane goli moja tu pasipo kujali kafunga Watford ama burnley
c) 2.5 = wasifungane ama lipatikane goli moja mpaka mawili, yasizidi mawili.

Mfano. no.2
Burnley 3 vs Watford 0 ...3 + 0 = 3 total goals.. kama uliwapa over 2.5 ...Win ila kama uliwapa under 2.5...Lost.

Kama hujaelewa waweza niuliza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza kusikia hvyo...

samahani kidogo,, em rudia kunielewesha kdgo juu ya over na under, 3 Way na handcap

Tumia mechi hii Kama mfano

Burnley vs Watford

Sent using Jamii Forums mobile app
HANDICAP.
Maana yake timu mojawapo inapewa ushindi wa goli/ magoli kabla ya mechi kuanza..

Mfano:- Burnley Vs Watford ( 1:0)
Kwa mfano huu timu ya nyumbani, Burnley kapewa goli moja kabla ya mechi kuanza, hivyo basi ili Watford aweze kuchukua ushindi anatakiwa afunge kuanzia magoli mawili na kuendelea..
Kumbuka hilo goli alilopewa Burnley litajumlishwa kwenye actual goals..
Hivyo Watfod atatakiwa afunge magoli kuanzia mawili ili apate ushindi.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza kusikia hvyo...

samahani kidogo,, em rudia kunielewesha kdgo juu ya over na under, 3 Way na handcap

Tumia mechi hii Kama mfano

Burnley vs Watford

Sent using Jamii Forums mobile app
3 way betting.
Huu ni ubashiri wa kawaida.
i.e 1 X 2 ( 1win, draw, 2 win)....Win, draw, loss

Mfano:- Burnley vs Watford
Kwa 3 way (1 X 2) , ukichagua moja wataka Burnley ashinde, ukichagua X wataka watoke draw/ sare...(wasifungane au wafananishe magoli). Ukichagua 2 ina maana wataka Watford ashinde.
Hapo nadhani umeelewa...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. Unaonaje leo ukinitwanga lishikamooo tena lile la kupiga magoti chini kabisa mpaka tumalize salamu na mazungumzo ya juu juu?

TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Shikamoo (mpendwa, rafiki,mkuu, kaka, baba)!
Natumai umeamka salama huko uliko, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na baraka tele alizotujalia siku ya leo....

Kwa upande wangu narudisha sifa na utukufu kwake yeye muweza wa yote, kwa maana mimi si kitu pasipo yeye...Tuwe na j'pili njema na iliyo takatifu mbele zake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
20180819_165258.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie napenda wajane! Kwa sharti la kupima typhoid kwanza lakini! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaogopa typhoid?
Haya twende tukapime[emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au pima leta majibu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom