Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1534689502891.jpg
 
3 way betting.
Huu ni ubashiri wa kawaida.
i.e 1 X 2 ( 1win, draw, 2 win)....Win, draw, loss

Mfano:- Burnley vs Watford
Kwa 3 way (1 X 2) , ukichagua moja wataka Burnley ashinde, ukichagua X wataka watoke draw/ sare...(wasifungane au wafananishe magoli). Ukichagua 2 ina maana wataka Watford ashinde.
Hapo nadhani umeelewa...


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shikamoo (mpendwa, rafiki,mkuu, kaka, baba)!
Natumai umeamka salama huko uliko, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na baraka tele alizotujalia siku ya leo....

Kwa upande wangu narudisha sifa na utukufu kwake yeye muweza wa yote, kwa maana mimi si kitu pasipo yeye...Tuwe na j'pili njema na iliyo takatifu mbele zake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 841294

Sent using Jamii Forums mobile app
Amin....Lakini ulipaswa upige magoti wakati unamwaga salaam hizo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom