Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]haya wahi nakusubiri ila tutapimia nyumban.
Halafu baada ya kupima nini kinafuata??[emoji124][emoji124][emoji124]

Kupimia nyumbani? [emoji848]... Basi thawa, baada ya kupima tutakwenda kula dinner sehemu. Baada ya miezi mitatu zoezi linarudiwa, mambo yakiwa safi tena; Hapo sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Kupimia nyumbani? [emoji848]... Basi thawa, baada ya kupima tutakwenda kula dinner sehemu. Baada ya miezi mitatu zoezi linarudiwa, mambo yakiwa safi tena; Hapo sasa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nyumba yangu ni maabara ndogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukitaka kupima dieniei unapima[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shikamoo (mpendwa, rafiki,mkuu, kaka, baba)!
Natumai umeamka salama huko uliko, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uzima na baraka tele alizotujalia siku ya leo....

Kwa upande wangu narudisha sifa na utukufu kwake yeye muweza wa yote, kwa maana mimi si kitu pasipo yeye...Tuwe na j'pili njema na iliyo takatifu mbele zake.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 841294

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
OVER & UNDER.

Kwenye football tuna vipindi viwili (45dkk za kwanza na za pili)....Magoli yanayopatikana ndani ya dakka 90 = Total goals...

Kuna magoli ya vipindi = 1st Half time & 2nd half time...
Tips za football tunaanzia 0.5 goals na kuendelea, hii ni kwa ubashiri wa aidha half time goals au Total goals.

Mfano. burnley vs Watford
Over [emoji652]

a) 0.5 = kuanzia goli moja na kuendelea.
b)1.5 = kuanzia magoli mawili na kuendelea.
c)2.5 = Kuanzia magoli matatu na kuendelea.
d)3.5 = kuanzia magoli manne na kuendelea.
Magoli haya hayaangalii nani kafunga kati ya Burnley ama Watford....
Mfano, ukitabiri over 0.5, Watford akafunga goli 1 na burnley nae akafunga goli moja au zaidi basi mkeka unakuwa [emoji736][emoji736]

Burnley 2, Watford 1 = 3 goals... hivo kama ulibashiri over 2.5 mkeka unakuwa umetick..
Lakini endapo watatoka 2:1 na ukawa umewapa under 2.5 unakuwa umechana mkeka kwa maana jumla ya magoli = 3, (2+1) ni zaidi ya mawili.

UNDER [emoji652]
a) 0.5 = Wasifungane
b) 1.5 = Wasifungane ama lipatikane goli moja tu pasipo kujali kafunga Watford ama burnley
c) 2.5 = wasifungane ama lipatikane goli moja mpaka mawili, yasizidi mawili.

Mfano. no.2
Burnley 3 vs Watford 0 ...3 + 0 = 3 total goals.. kama uliwapa over 2.5 ...Win ila kama uliwapa under 2.5...Lost.

Kama hujaelewa waweza niuliza.


Sent using Jamii Forums mobile app
Prof katika ubora wako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mechi ya kufungia wiki imeisha. Nimewaambia Tanesco wakate umeme, hizi mechi zingine sijui akina MU hatuna haja ya kuziangalia! Numbisa! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sauwaa tu. Nipo napendezesha ka uzi acha fitna bana

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread - JamiiForums
 
243D02F1-B1D2-4235-89AF-5F0FCAEB9476.jpeg
 
HANDICAP.
Maana yake timu mojawapo inapewa ushindi wa goli/ magoli kabla ya mechi kuanza..

Mfano:- Burnley Vs Watford ( 1:0)
Kwa mfano huu timu ya nyumbani, Burnley kapewa goli moja kabla ya mechi kuanza, hivyo basi ili Watford aweze kuchukua ushindi anatakiwa afunge kuanzia magoli mawili na kuendelea..
Kumbuka hilo goli alilopewa Burnley litajumlishwa kwenye actual goals..
Hivyo Watfod atatakiwa afunge magoli kuanzia mawili ili apate ushindi.




Sent using Jamii Forums mobile app
Profesa unamwaga madini[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwaka huu watu.wasipotajirika, hawatatajirika tena[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unamuweka majaribuni kanjibai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom