carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hiyo ishu nilishawahi isoma humu,kuna mtu alikuja kulalamika humu kuhusu hivyo vigroup kuna vinavyochangisha ushuru na vingine vya bila ushuru[emoji124][emoji124][emoji124]
Ndio..
Naona mzee wa kilingeni nae, hivi kuna vigroup huko nje eeeh?
Sent using Jamii Forums mobile app