Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
....Ingawa nina kiu naa wewe, nitakunywa maji nitulie[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha! Achana na gutambi, gule atagujulia tu...Umenifanya niwaze vyenye atakuwa anacheza na gutambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio..Nilikuwa nasemea wa vale naona mods wamesepa nao
...Waarabu wa Pemba.....Yaani hadi kuoa watu wanalazimishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kikizakipumbavu#[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Makonda aahidi kuwafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameeleza kuwa atawafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya kama wasipofunga ndoa mwaka huu. Mhe Makonda amedokeza kuwa mipango ya ndoa ya Lulu na Majay inaendelea vizuri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ShukraniAleikum salaam Moudgulf...Mie mzima kabisa. Nimejaa tele ka pishi la ubwabwa wa matandu[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Achana na gutambi, gule atagujulia tu...
Yule kama anarudi utotoni vile[emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app