Hahahahahahaahha kweli,kuna kimoja sikipend hata sijui kwann
Hao wanajuana kwa vilemba.... wanatafuta attention kwa jamii.Yaani hadi kuoa watu wanalazimishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kikizakipumbavu#[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Makonda aahidi kuwafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameeleza kuwa atawafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya kama wasipofunga ndoa mwaka huu. Mhe Makonda amedokeza kuwa mipango ya ndoa ya Lulu na Majay inaendelea vizuri.
Hao wanajuana kwa vilemba....Utani tu huo, sema utani wao wa kutafuta attention kwa jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Simpatii picha mke taraji wa Le kokobanga[emoji23]Ndo maana nikasema kiki za kipumbavu.
Naona uzi umefutwa
Haujafutwa ..UpoNdo maana nikasema kiki za kipumbavu.
Naona uzi umefutwa
Aleikum salaam Moudgulf...Mie mzima kabisa. Nimejaa tele ka pishi la ubwabwa wa matandu[emoji23].
..........Ndiye mla nyama[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii..
Simba mwenda pole .......... ........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, fisi wao kunusa nusa tu na kutafuta wapi ulipo uelekeo wa mizoga...........Ndiye mla nyama[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] View attachment 841006
Sent using Jamii Forums mobile app