Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani naona kutakuwa na wadau wengi pale Posta Mpya wakisubiri kutoa huduma.

Ila kama ni kweli namuonea huruma bidada maana kakata tamaa tayar
Ukiufuatilia vizuri mwandiko wake hakika utagundua kitu.
Kuna uzi ulifukuliwa leo, watu wametajwa majina yao, matipo Id zao na nchi walipo kimasomo. Kuna mmoja alijaribu kupinga lakini katajiwa hadi wenzake na huwa wanaripoti kwa nani... Jamaa kaukimbia uzi.
Tutamalizana humu kwa kuaminiana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…