carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aiseh!Ukiufuatilia vizuri mwandiko wake hakika utagundua kitu.
Kuna uzi ulifukuliwa leo, watu wametajwa majina yao, matipo Id zao na nchi walipo kimasomo. Kuna mmoja alijaribu kupinga lakini katajiwa hadi wenzake na huwa wanaripoti kwa nani... Jamaa kaukimbia uzi.
Tutamalizana humu kwa kuaminiana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba link[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]