OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wazungu hawaja mu R.I.P kweli?aliyewahi kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa bwana KOFFI ANNAN amefariki dunia akiwa nchini uswis baada ya kuugua kwa muda mfupi
mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
Sent using Jamii Forums mobile app