Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kwema?
Hawa watoto wa kiiraqw wanakuwaga wamebarikiwa vinywele mtelezo, rangi nyeupe na msambwanda matata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa yuuni Katesh[emoji137] [emoji137] [emoji137]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!!

Nawasalimia[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wazee wa rangi ya thao(dhahabu)
Kusema kweli ni warembo sana. Ukimkuta aliyeumbika sawasawa aisee na weupe ule Msukuma hata uambiwe ng'ombe 80 utazitoa tu. Halafu wapole sana kama alivyo Consuela hapa. Nilipapenda sana sema ishu ilikuwa baridi dah !!! Asubuhi mawingu yamening'inia milimani huko halafu ikiamua kunyesha inanyesha kweli.

Kwema huko lakini?
 
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri.
Tatizo la kule kwa wageni ni baridi. Hali ya kule ndio nimeikuta Tchiolo/Mlanje mwezi ulio pita,haijulikani ni asubuhi wala jioni, ukungu unatambaa kwenye miti ya michai muda wote. Nikajisemea tu "cha kujifia huku nini! Shwaini zangu... "
Saa mbili usiku nikapanda gari kurudi zangu kwenye nchi ya ahadi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uko mweusi shem? [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️

Nasinzia soon so kama unanipa shikamoo iwahishe pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni mweusi huwa naitwa cheusi mangara[emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukawe na usiku mwema Mungu akulinde[emoji120][emoji120]
 
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri.
Tatizo la kule kwa wageni ni baridi. Hali ya kule ndio nimeikuta Tchiolo/Mlanje mwezi ulio pita,haijulikani ni asubuhi wala jioni, ukungu unatambaa kwenye miti ya michai muda wote. Nikajisemea tu "cha kujifia huku nini! Shwaini zangu... "
Saa mbili usiku nikapanda gari kurudi zangu kwenye nchi ya ahadi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mi nilikwenda wakati wa mvua. Mchana mawingu yananing'inia milimani kunakuwa kweusi kama usiku na baridi linapuliza. Nilikaa miezi kadhaa ikabidi nikimbie kwa kweli. Sipendi baridi.

Mlanje huko ni wapi? Malawi au huko huko maeneo ya Mwakaleli?
 
Mimi ni mweusi huwa naitwa cheusi mangara[emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukawe na usiku mwema Mungu akulinde[emoji120][emoji120]
Cheusi mangara eeh! Yule aliyeimbwa kwenye wimbo wa DDC Mlimani Park Orchestra?

Marahaba na Asante sana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Halafu mi nilikwenda wakati wa mvua. Mchana mawingu yananing'inia milimani kunakuwa kweusi kama usiku na baridi linapuliza. Nilikaa miezi kadhaa ikabidi nikimbie kwa kweli. Sipendi baridi.

Mlanje huko ni wapi? Malawi au huko huko maeneo ya Mwakaleli?
Ndio Malawi. Ukitoka Blantyre njia ya Limbe kuelekea mpakani na Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marahaba mama.
Uwe na siku njema. Mpe salaam mkoromije, mwambie wewe una rangi ya dhahabu, najua atakutumia mapesa kibawoo, usinisahau teni pasenti yangu[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa asijesema tuma picha mambo yakaharibika[emoji23]

Ukawe na siku njema iliyojaa baraka shem[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] usha haribu sasa. Nilishaandaa na matumizi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaweni na siku njema wapendwa. Mungu wetu ni mwema sana na Alishatuahidi kuwa hatatuacha kama tukimwomba na kumtegemea. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Ulale salama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
tapatalk_1534743919538.jpeg
 
Nilipapenda sana. Mabinti warembo weupee utadhani siyo Wabongo. Tatizo ilikuwa baridi na mvua. Halafu ile barabara. Pengine sasa walishaiwekea lami. Kutoka Mto wa Mbu pale kuja Mbulu mvua zimenyesha basi linaserereka tu aisee ilikuwa kasheshe. Niliapa kutorudi mpaka barabara ile itengenezwe.
Aisee ilikuwa mwaka gani huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom