Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kwema?
Hawa watoto wa kiiraqw wanakuwaga wamebarikiwa vinywele mtelezo, rangi nyeupe na msambwanda matata sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa yuuni Katesh[emoji137] [emoji137] [emoji137]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!!

Nawasalimia[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]wazee wa rangi ya thao(dhahabu)
 
Mungu ni mwema tunaendelea vizuri.
Tatizo la kule kwa wageni ni baridi. Hali ya kule ndio nimeikuta Tchiolo/Mlanje mwezi ulio pita,haijulikani ni asubuhi wala jioni, ukungu unatambaa kwenye miti ya michai muda wote. Nikajisemea tu "cha kujifia huku nini! Shwaini zangu... "
Saa mbili usiku nikapanda gari kurudi zangu kwenye nchi ya ahadi [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uko mweusi shem? [emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️

Nasinzia soon so kama unanipa shikamoo iwahishe pulizi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni mweusi huwa naitwa cheusi mangara[emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukawe na usiku mwema Mungu akulinde[emoji120][emoji120]
 
Halafu mi nilikwenda wakati wa mvua. Mchana mawingu yananing'inia milimani kunakuwa kweusi kama usiku na baridi linapuliza. Nilikaa miezi kadhaa ikabidi nikimbie kwa kweli. Sipendi baridi.

Mlanje huko ni wapi? Malawi au huko huko maeneo ya Mwakaleli?
 
Mimi ni mweusi huwa naitwa cheusi mangara[emoji23][emoji23]

Shikamoo shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukawe na usiku mwema Mungu akulinde[emoji120][emoji120]
Cheusi mangara eeh! Yule aliyeimbwa kwenye wimbo wa DDC Mlimani Park Orchestra?

Marahaba na Asante sana. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ndio Malawi. Ukitoka Blantyre njia ya Limbe kuelekea mpakani na Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marahaba mama.
Uwe na siku njema. Mpe salaam mkoromije, mwambie wewe una rangi ya dhahabu, najua atakutumia mapesa kibawoo, usinisahau teni pasenti yangu[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa asijesema tuma picha mambo yakaharibika[emoji23]

Ukawe na siku njema iliyojaa baraka shem[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naogopa asijesema tuma picha mambo yakaharibika[emoji23]

Ukawe na siku njema iliyojaa baraka shem[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] usha haribu sasa. Nilishaandaa na matumizi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaweni na siku njema wapendwa. Mungu wetu ni mwema sana na Alishatuahidi kuwa hatatuacha kama tukimwomba na kumtegemea. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Ulale salama
 
Aisee ilikuwa mwaka gani huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…