Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji1] [emoji1]Duuuh!
Kwangu foleni hamna kama road ya kwwnda kibiti
Kabisa wewe unanifahamu vizuri ndio maana wengi hawanielewi ila wewe tu[emoji15] [emoji15]
Lete ubuyuNaskia gwajima kaliamsha dude leo
Kula likes huku ukiendelea kutafuta picha.Kuna picha naitafuta humu
Hyo hapoKumbuka lengo la uzi toa likes pata likes
Asante kwa kujaliAsante sana kwa upendo[emoji1] [emoji1]
Chirichiri
Mkuu usije ikawa na wewe ulikuwepo aisee unanipa MashakaMaximilian Lugaimukamu
Hahahahaaaa.....karibuniii....loooh...sii kwa kunishushua huku.Remember you are talking to a man of God...Nishajiandaa nakuja na Baba na Mama tumalize Bible yote leo. ....
Hamna mkuu hali tete naona naenda kuwa msolid tu ila sio Cole WilliamsKwa mistarii unayowapa wanashindwa kujua nani ni nani ulingoni...
Kama lengo la uziKula na wewe hizo
Utapata mwingine atakaekuelewa usijal na ukipata utulie usigonganishe magari kama janaKabisa wewe unanifahamu vizuri ndio maana wengi hawanielewi ila wewe tu