[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Si baya tunakula samaki pekee mengine utavumilia mwenyeweee [emoji125][emoji125]
Ahsante PyaarNswalu ni mboga iliyokaushwa na kusagwa + kuchekechwa[emoji654]Unga unga.
Inapikwa kwa kupekechwa na kukorogwa kama mtori....Pia unalendemka, mlenda unalendemka zaidi ya nswalu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni aina nyingine ya kuitangaza biashara yako...Mbona sijaona ma supastaa humu jaman au hawatumii huu mtandao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
FJ? Facebook Jamii au!!
Watu ganhawatumii mtandao gani 0713 au??
kuna watu ndo mishe zao humu Dada watakuharibu
Ndugu mjumbe....Afande Selle hapa sema Binti..
SauwaahHii ni aina nyingine ya kuitangaza biashara yako...
By the way, ma superstar wapo na huo mtandao wanautumia......
Nakushauri uwe mpole soon utawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa thats right watakuja pia usisahau kuna wazee wa fursa nao watakuja PM