Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Aisee kati ya mboga zote za unyamwezini nilikuwa napenda nswalu sana...Nsasa ilikuwa yanishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kati ya mboga zote za unyamwezini nilikuwa napenda nswalu sana...Nsasa ilikuwa yanishinda.
Hata kama yupo hutamsikia. Watu hawataki makabila yao yajulikane [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku hizi kila sehemu wanatoka[emoji124][emoji124]
Hahahaha nswalu bhna,,, kuna hadithi flan hv huwa wanasimulia kuwa kuna Masai alikuwa anakula ugali na nswalu sasa akiwa anapeleka tonge mdomoni anacheki ile nswalu nayo inaelekea juu tu,, bhasi akawa akitaka kumeza lile tonge anatoa sime anakata ile mboga isimfateAisee kati ya mboga zote za unyamwezini nilikuwa napenda nswalu sana...Nsasa ilikuwa yanishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka pia kipindi nimekwenda Bujora niliambiwa hivyo hivyo, kuwa vijana wa kiume huo ndio ulikuwa muda muafaka wa kuchagua jiko, walikuwa wakiangalia jitihada za mwanamke kupitia usagaji wa ulezi kwa jiwe...Asante. Mama alikuwa akinisimulia wakati wa utineja wake jinsi walivyokuwa wanakusanyika pamoja kusaga unga huo kwa mikono. Walikuwa wanaita maanhe na mara nyingi ilikuwa ni katika mwamba wa asili uliojitandaza ardhini. Basi wasichana wa kijiji hata 20 walikusanyika hapo na kusaga unga wa chakula cha jioni. Wavulana pia ndiyo ulikuwa wakati wao wa kwenda kutongoza hapo. Asante kwa kumbukumbu nzuri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Potiiiiii
Hahahahha!! Mwanzo ilinipa shida sana kuizoea... nilikuwa nikiila kuja kushiba shingo ishapata maumivu ya kutosha.[emoji23]Hahahaha nswalu bhna,,, kuna hadithi flan hv huwa wanasimulia kuwa kuna Masai alikuwa anakula ugali na nswalu sasa akiwa anapeleka tonge mdomoni anacheki ile nswalu nayo inaelekea juu tu,, bhasi akawa akitaka kumeza lile tonge anatoa sime anakata ile mboga isimfate
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu kuna kilima na kuna hizo maanhe lwa wingi. Rows karibu 30. Huwa nazipalilia ili zisimezwe na ardhi...Nakumbuka pia kipindi nimekwenda Bujora niliambiwa hivyo hivyo, kuwa vijana wa kiume huo ndio ulikuwa muda muafaka wa kuchagua jiko, walikuwa wakiangalia jitihada za mwanamke kupitia usagaji wa ulezi kwa jiwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
nswalu ni mlenda?Hahahaha nswalu bhna,,, kuna hadithi flan hv huwa wanasimulia kuwa kuna Masai alikuwa anakula ugali na nswalu sasa akiwa anapeleka tonge mdomoni anacheki ile nswalu nayo inaelekea juu tu,, bhasi akawa akitaka kumeza lile tonge anatoa sime anakata ile mboga isimfate
Sent using Jamii Forums mobile app
Makungwi ndiyo wakina naniSiku hizi kila sehemu wanatoka[emoji124][emoji124]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Si baya tunakula samaki pekee mengine utavumilia mwenyeweee [emoji125][emoji125]Huyo samaki ni mahari ujue?