Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...
20180820_202320.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatoa hadi makungwi
If you know what i mean[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] mmmmhhhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niianalia walionizunguka sion kungwi acha hizo makungwi wapo tanga
 
Asante. Mama alikuwa akinisimulia wakati wa utineja wake jinsi walivyokuwa wanakusanyika pamoja kusaga unga huo kwa mikono. Walikuwa wanaita maanhe na mara nyingi ilikuwa ni katika mwamba wa asili uliojitandaza ardhini. Basi wasichana wa kijiji hata 20 walikusanyika hapo na kusaga unga wa chakula cha jioni. Wavulana pia ndiyo ulikuwa wakati wao wa kwenda kutongoza hapo. Asante kwa kumbukumbu nzuri [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom